Megan Thee Stallion akiri kuwa yeye na Tory Lanez waliwahi kuwa wapenzi

-rickmedia: Saraphina Jerry

Saraphina Jerry

1 month ago
rickmedia: megan-thee-stallion-akiri-kuwa-yeye-tory-lanez-waliwahi-kuwa-wapenzi-425-rickmedia

Rapa Wa Marekani Megan The Stallion Kupitia Documentary Yake Mpya Ameweka Wazi Kuwa Hakuwa Mkweli Katika Interview Aliyofanya Na Mtangazaji Gykie King Mwaka 2022 Hasa Pale Alipoulizwa Kuwa Na Mahusiano Ya Kimapenzi Na Tory Lanez Ambapo Alionekana Akikanusha.

“Ni Kweli Nilimuongopea Gylie King, Kwanza Sikujua Kama Yule Mpuuzi Angeniuliza Swali La Kipuuzi Kama Lile” - Megan Akidai Kuwa Aliongopa Akimaanisha Kuwa Tory Alikuwa Mpenzi Wake Na Alilala Nae Zaidi Ya Mara 2 Katika Siku Tofauti .

Kwa Sasa Tory Lanez Yupo Jela Baada Ya Kukutwa Na Hatia Katika Kesi Ya Kumpiga Risasi Megan Na Kumjeruhi Julai Mwaka 2020 !.