Mshehereheshaji wa Kimataifa MC Gara B ameweka wazi kwa mara ya kwanza kuwa Harmonize anampango wa kwenda kutoa Posa nchini Rwanda