@the_lion_ink_tattoo ameweka wazi kuwa @therealpaulahkajala ndiye alimlipa pesa ili aweze kumfuta @kajalafrida tattoo yenye herufi ya mwanzo ya jina la @harmonize_tz huku akiweka wazi kuwa #Paulah alimfanyia Suprise mama yake siku ambayo ilikuwa ni kumbukizi yake ya kuzaliwa.
2 months ago