EXCLUSIVE na ASMAH anayetajwa kuwa Mchepuko wa Baba Levo
Baada ya Gigy Money kuanika kuwa Baba Levo anachepuka na mchekeshaji Asmah Jamida Rick Media tumeingia Chimbo na kupiga Stori na Asmah ambaye amefunguka juu ya fununu hizo za kutoka na Baba Levo