Mwanasheria kutoka #AvisLegal @henry_mwinuka_esq anatufafanulia kuhusu swala la watu kuonesha silaha zao (Haswa Bunduki) hadharani. Henry Mwinuka amesema kuwa ni kosa kisheria mtu kuonesha Silaha yake hadharani na kosa hilo linaweza kupelekea kuchukuliwa hatua mbalimbali za kisheria.
5 months ago