Loading...

Exclusive

PAPA MAFIDO Afunguka "Niliishi na MWANAMKE nikiwa Form 2/Waliniona CHIZI wakati wa BSS

@papamafidotz amepiga stori na Rick Media ambapo amefunguka historia ya maisha yake. Mafido anasema kuwa alianza kuishi na mwanamke akiwa Kidato cha Pili huko Arusha. . Mafido amefunguka pia changamoto za kimaisha ndani ya Jiji la Dar es Salaam ambapo anasema ukiingia kichwakichwa Dar unaweza kudondokea pua

2 months ago