Rais Samia Suluhu Hassan amemteua Balozi Said Othman Yakub kuwa Balozi wa Tanzania Nchini Comoro.
Balozi Yakub anachukua nafasi ya Balozi Pereira Ame Silima ambaye amemaliza muda wake.
Saraphina Jerry