Loading...
rickmedia: mtaje
Mtaje
Harmonize
AFRO-MUSIC
Play Music
Mtaje

Big boy

Mmmmh mmhh

Anakasura ka upolee

Miaka nenda rudi hazeeki

Tena ni mtu wa Gym Gym

Shepu ndo linanipa wazimu zimu

Na tattoo nimchoree

Ila ndo hivo tena hapendekiii

Amakweli mapenzi hayana mwalimu

Wengine hata kuniona ni adimu

Hivi tuseme anangekewa

Ama nyota yake kali ananizidi

Ama mjini nimechelewa

Mbona wengine wanamponda wanamwita bibi

Nilianza kumuona mapema

Enzi za mabanda ya sinema

Alikuaga ni rafiki na wema she's so beauu

Acha wanione mshamba tuu

Tuta huwezi kulipigia hona

Umri nao ni namba tuu

Kinacho niuma anajifanya Haoni

Kama unamjua (mtajee)

Nani anemjua (mtajee)

Kama unamjua (mtaje)

Avimbe kichwa ajisifie

Basi kama unamjua (mtaje)

Kama unamjua (mtajee)

Kama unamjua (mtaje)

Avimbe kichwa ajisifie (mmh mmh mmh)

Mmh! Anaelenga kwa rula

Sikuzote ndo apataye

Mwambieni mwanangu paula

Minampenda mamae

Tena ni fundi wa kuchanua aah

Utasema samaki Ng'onda

Hapo ndo nikagundua ah

Nini kiliwaliza makonda

Wa dala dala dala

Mi nashindwa kulala lala lala

Hana mbadala dala dala

Anaitwa ka ka eeeh

Hakika ye ndo kiboko yangu

Jua likiwaka ikinyeshaaaa

Utembo na ujeshi wangu

Getini kwake nilikesha

Mtihani wa mapenzi hakuna aliyefuzu

Sawa unywe pombe na useme una Udhu

Na mtu ukishapenda unakua Zuzu

Eti nawaza aje kua mama zuzu

Kama unamjua (mtaje)

Kama unamjua (mtaje)

Kama unamju (mtaje)

Mmh! Avimbe kichwa ajisifie

Eeeh, big boy na migoo wanamjua

Cha upole anamjua

Anko Duke Naye anamjua

Sara boy na tembo wanamjua

Elizakiel wamipango anamjua

Kigipopa mzambele wanamjua

Eeh eeh eeh (mixed by sonic)

You May Also Like