Hatua hizi zinalenga kupunguza gharama za maisha ambazo zinatajwa kuchelewesha a ...
Saraphina Jerry
Saraphina Jerry
Rais Donald Trump amesema mashambulizi hayo yalilenga wanamgambo waliodaiwa kushambulia Wakristo.
Hatua hizi zinalenga kupunguza gharama za maisha ambazo zinatajwa kuchelewesha au kuzuia ndoa na kupata watoto,
Aidha jeshi limekanusha taarifa za kwamba kuna wameandamana leo hii
Kati ya hao, wafungwa 22 wameachiwa huru kabisa, huku 1,014 wakipunguziwa adhabu na kuendelea kutumikia vifungo vilivyosalia.
Amezuiwa Polisi kufanya ukamataji kwa kutumia vifunika uso (ninja), bila sare na wakiwa na silaha kubwa.