Mtoto wa Khamenei aapa kulipa kisasi kwa maadui wa Iran

-rickmedia: Rick

Rick

2 hours ago
rickmedia: mtoto-khamenei-aapa-kulipa-kisasi-kwa-maadui-iran-821-rickmedia

Kiongozi Mkuu mpya wa taifa la Iran, Mojtaba Khamenei, ametoa onyo kali kwa mataifa ya kikanda na maadui wa taifa hilo, akiahidi kulipa kisasi kwa damu ya "mashahidi" wa Iran.



Khamenei ameweka wazi kuwa Iran haitaitupa nyuma ajenda ya kulipiza kisasi kwa damu ya waliopoteza maisha katika mashambulizi yaliyofanywa hivi karibuni. Amesema kuwa Iran ina uwezo na utayari wa kupiga mali na rasilimali za adui (enemy assets) popote pale itakapohitajika kulinda heshima ya taifa hilo.