Rapa Eminem ametangaza kuwa leo hii anasherehekea miaka 18 bila matumizi ya Dawa za Kulevya.
Eminem amesheherekea mafanikio yake hayo kupitia ukurasa wake wa Instagram.
Kuna wasanii wengi ambao walikuwa wakitumia madawa ya kulevya na wakafikia hali mbaya sana lakini baadaye waliacha kabisa,Eminem aliacha rasmi miaka 18 iliyopita baada ya kuhatarisha maisha yake kwa kutumia dawa hizo kupita kiasi (OverDose) mwaka 2007.