VIDEO: ZARI THE BOSS LADY Atua Tanzania na Mumewe SHAKHIB

-rickmedia: Rick

Rick

1 year ago
rickmedia: video-zari-the-boss-lady-atua-tanzania-mumewe-shakhib-210-rickmedia

Mfanyabiashara maarufu Afrika Mashariki na Baby Mama wa mwanamuziki Diamond Platnumz Zari The Boss Lady ametua leo nchini Tanzania akiwa na mume wake Shakhib.

Zari ametua kwaajili ya shughuli zake za kibiashara akiwa kama Balozi wa Pedi za Softcare. Zari alipokelewa na Bosi wa Softcare aliyetambulika kama Madam Lucy ambapo alipokelewa na kukabidhiwa maua ya ukaribisho

Kati ya vitu ambavyo Zari amefunguka kupitia Rick Media ni kuwa anapenda sana Maua "Napenda sana Maua". Kwa upande mwengine Zari ameuelezea mwezi Mtukufu wa Ramadhan ambapo amesema yeye na mume wake Shakhib wameuanza vizuri kwa kwenda kuhiji Macca.

Tazama Video hii Chini kutazama Video Kamili