Hawa ndio wasanii wakike matajiri zaidi Duniani

-rickmedia: Saraphina Jerry

Saraphina Jerry

1 year ago
rickmedia: hawa-ndio-wasanii-wakike-matajiri-zaidi-duniani-879-rickmedia

Mwaka wa 2024, tasnia ya muziki inaendelea kutawaliwa na wasanii wa kike ambao wamejikusanyia utajiri wa kushangaza. Mafanikio ya wanawake hawa yanaakisi sio tu vipaji vyao bali pia umahiri wao wa kibiashara.

Rihanna, ambaye anajihusisha na muziki, mitindo na urembo, ndiye msanii tajiri zaidi duniani akiwa na $1.4B (TZS Tril. 3.641). Akifuatiwa kwa karibu ni Taylor Swift, ambaye hatua zake za kimkakati za kibiashara na tour zake zilizovunja rekodi zimemfanya afikie utajiri wa $1.3B (TZS Tril. 3.381).

Tazama list kamili;

1. Rihanna - $1.4B (TZS Tril. 3.641)

2. Taylor Swift - $1.3B (TZS Tril. 3.381)

3. Madonna - $850M (TZS Tril. 2.222)

4. Beyoncé - $760M (TZS Tril. 1.987)

5. Céline Dion - $550M (TZS Tril. 1.438)