Haji Manara Amripua Rais wa TFF kisa Pesa za Yanga Sc

-rickmedia: Lanka Ting

Lanka Ting

2 days ago
rickmedia: haji-manara-amripua-rais-tff-kisa-pesa-yanga-622-rickmedia

Baada ya Barua kutoka Benki ya #CRDB na Wadhamini wa Kombe la FA, Mwanachama wa Klabu ya #YangaSc, #HajiManara amripua Rais wa TFF, #WallaceKaria akidai anatakiwa awajibike kwa yaliyotokea.

Kupitia ukurasa wake wa Instagram ameandika...

"Lazma Karia awajibike immediately kwa hili liliofanyika? Yeye na Genge lake hawastahili tena kutuongozea Mpira wetu. Kama kiongozi Mkuu wa Taasisi anapaswa kuwa wa kwanza kukaa kando na kuwajibika kwa haya madudu yao !!

Wanaharakati wa football tushamjua adui wetu wa football ya Tanzania,now ni kudeal nae effectively ili atupishe na kwenye hili tuache kuremba remba, Tuanze na yy kisha wengine wafate,Tusiwatoe mbuzi wa kafara Vidagaa peke yao. #KariaMustGo"