Mwili wa Grace Mapunda wawasili Leaders Club

-rickmedia: Rick

Rick

7 months ago
rickmedia: mwili-grace-mapunda-wawasili-leaders-club-763-rickmedia

Mwili wa Muigizaji wa Filamu Nchini Grace Mapunda, tayari umewasili kwenye viwanja vya Laedears Club kwaajili ya kupewa hesima za Mwisho kabla ya kwenya makazi yake ya Milele.


Enzi za Uhai wake amewahi kufanya kazi na wasanii mbalimbali nchini na mpaka umauti unakuta alikuwa akifanya kazi tamthilia ya Huba inayoruka DSTV.

 

Grace amefariki siku ya Jumamosi tarehe 2, Novemba katika Hospitali ya Mwananyamala, jijini Dar Es Salaam ambapo alikuwa akipatiwa matibabu.