Justin Bieber Sio Mhanga Wa Matukio Ya Diddy, Msemaji Afunguka

-rickmedia: Lanka Ting

Lanka Ting

1 day ago
rickmedia: justin-bieber-sio-mhanga-matukio-diddy-msemaji-afunguka-742-rickmedia

Msemaji wa staa wa muziki ‘Justine Bieber’ amekana madai ya taarifa za mteja wake kuhusishwa na tuhuma za matukio ya #Diddy ikiwemo ulanguzi wa ngono na unyanyasaji wa ngono.

Msemaji wa #JustineBieber anasema “Justin sio miongoni mwa waathiriwa wa Sean Combs ‘Diddy’ kuna watu ni kweli waliumizwa nae na kuhamisha mielekeo yao na wanastahili haki yao”.

Ukaribu wa zamani wa #Diddy na #JustineBieber umezua gumzo mitandaoni baada ya video zao na picha zikiwaonyesha wakiwa karibu studio, kwenye party na sehemu zingine.See translation