Trump asema hatanii kuhusu kugombea Muhula wa 3 Urais wa Marekani

-rickmedia: Saraphina Jerry

Saraphina Jerry

2 days ago
rickmedia: trump-asema-hatanii-kuhusu-kugombea-muhula-urais-marekani-2-rickmedia

Rais Donald Trump amesema hana mzaha kuhusu kugombea Urais kwa muhula wa 3. Akizungumza na NBC News, Trump alidai kuwa Uchaguzi wa 2020 ‘uliibwa’ na kupangwa na kwamba Watu wengi wanamsihi agombee tena baada ya 2029, huku akisisitiza kuwa bado kuna muda mrefu kabla ya kujadili suala hilo

Katiba ya Marekani, kupitia Marekebisho ya 22, inazuia Mtu yeyote kuhudumu nafasi ya Urais kwa zaidi ya Mihula miwili, na jaribio lolote la kubaki Madarakani litakuwa na utata wa kisheria