Meja Kunta Amshtumu Jux na D Voice Kumuibia Wimbo

-rickmedia: Lanka Ting

Lanka Ting

5 hours ago
rickmedia: meja-kunta-amshtumu-jux-voice-kumuibia-wimbo-143-rickmedia

Baada ya Staa wa Muziki wa Bongo Fleva #Jux kushare kionjo cha Ngoma yake mpya yenye miondoko ya Singeli, Staa wa Muziki wa Singeli #MejaKunta Ameibuka na kushare ngoma ya #Jux , Yake na ya #Dvoice akionesha kama ngoma ya #Jux Ina Mashairi Sawa na yake Kisha kumtupia lawama #Dvoice.

Ameandika..

@itsdvoice Inawezekana Kwenye Hii Game Nikawa Mtu Wa Kwanza Mwenye Ukaribu Nawewe Kutokana Na Ukaribu Wa Familia Zetu.

Inawezekana Nikawa Ndie Mtu Niliekufungulia Milango Mingi Kwenye Maisha Yako Tulipofanya Wimbo Wa Pamoja Ulifanya Vizuri Sana

Hii Inaonyesha Kiasi Gani Wewe Ni Mdogo Wangu Wa Rohoni Kabisa Nina Mapenzi Makubwa Na Wewe ❤️

Ila Hiki Unachofanya Kina Tafsiri Mbili

Dharau

Kunitumia

Tunawasiliana Kilasiku Tunakutana Kila Siku Sidhani Kama Natakiwa Kulipwa Hiki"