Burna Boy aliwahi kuzuiwa Airport kwajiili ya vito vingi vya dhahabu

-rickmedia: Saraphina Jerry

Saraphina Jerry

16 hours ago
rickmedia: burna-boy-aliwahi-kuzuiwa-airport-kwajiili-vito-vingi-vya-dhahabu-212-rickmedia

Rais wa CAF, Patrice Motsepe, amesema mwimbaji Burna Boy alizuiliwa kwa muda katika uwanja wa ndege nchini Morocco baada ya maafisa wa forodha kuhoji vito vingi vya dhahabu alivyokuwa navyo.

Tukio hilo liliwalazimu viongozi wa CAF kumwasiliana na Motsepe, ambaye aliingilia kati na kulitatua, na hivyo Burna Boy akaendelea na safari yake hadi Rabat kwa ajili ya burudani ya AFCON Fan Zone.