Rapa #50Cent anatumia njia zote kumuonesha Rais wa Marekani #DonaldTrump kuwa #Diddy hakuwa mtu anaemuunga mkono licha ya kuwahi kuwa marafiki.
Baada #Trump kusema kuwa ataweza kuangalia uendeshwaji wa kesi ya #Diddy ili aone namna ya kutoa msamaha wa Rais, #50Cent ameshare video Za zamani Za #Diddy akiuponda uongozi wa Watu weupe kama #Trump.
Kabla ya video hizo alishare ujumbe Na kufuta akisema
“Trump, sio sawa. Nitatuma ujumbe ili ajue jinsi ninavyohisi kuhusu mtu huyu,”
“Donald hapokei vyema kutoheshimiwa, na hakusahau wale wanaoamua kumpinga. Wakati anafanya kazi kwa bidii kuifanya Marekani kuwa bora tena, hakuna nafasi ya vizingiti. Angeweza kufikiria kumpa msamaha yeyote anayeteswa isivyo haki, lakini si Puffy Daddy.”