Haji Manara Adai Kushangazwa na Kauli za Mhe. Mwana FA

-rickmedia: Lanka Ting

Lanka Ting

1 day ago
rickmedia: haji-manara-adai-kushangazwa-kauli-mhe-mwana-887-rickmedia

Mwanachama na Shabiki wa Klabu ya #YangaSc #HajiManara ameonesha kushangazwa na maoni yaliyotolewa na Naibu Waziri wa Tamaduni, Sanaa na Michezo, Mhe. Hamis Mwinjuma ( #MwanaFA) Baada ya Mchezo wa Fainali Mkondo wa Pili wa #SimbaSC Vs #RcBerkane kumalizika kwa Sare ya 1-1 (1-3) na #Berkane kuibuka washindi wa kombe la Shirikisho Afrika.

Kupitia ukurasa wa Instagram wa Mhe. Hamis Mwinjuma Aliandika..

Nimeandika na kufuta mara nyingi leo..ila,"napendekeza",siku nyingine bingwa awe anateuliwa tu na CAF tusipotezeane muda.