Baada ya Chino Kidd kuweka taarifa ya kununua magari mapya mawili aina ya "Jeep na BMW" amefunguka kuwa mafanikio hayo yametokana na juhudi zake katika kazi na sio uchawi kama story nyingi zinavodai kuwa alimuua rafiki yake katika ajali iliyotokea siku za nyuma.
Chino ameweka wazi kuumizwa na story hizo kuhusu marehemu rafiki yake na anasema ameamua kulizungumzia tena sababu anataka kuwatoa vijana kwenye imani potofu.
TAZAMA HAPA CHINI👇🏾