Staa wa Muziki Diamond Platnumz, anaendelea kuishi maisha ya kifahari na kupeperusha bendera ya Tanzania kimataifa.
Kupitia clip aliyoshare kwenye mitandao ya kijamii, Diamond ameonesha hoteli ya kifahari aliyofikia akiwa na timu yake huko Italy, ambapo gharama ya chumba kimoja kwa siku ni dola 3,500 za Kimarekani Takriban Shilingi milioni 9.3 za Kitanzania kwa siku moja.