Musonda Amwagana na Yanga Atoa Thank You.

-rickmedia: Lanka Ting

Lanka Ting

15 hours ago
rickmedia: musonda-amwagana-yanga-atoa-thank-you-911-rickmedia

Mchezaji Kennedy Musonda kwenye ukurasa wake wa Instagram ameachia ujumbe wananchi, wanayanga baada ya kuhudumu klabuni hapo kama mchezaji wao.

Musonda ameandika kuwa, aseme nini zaidi ya kuaga tu. Mmelia naye na kucheka naye nyakati zote hizo sasa ni muda wa kwenda kuangalia changamoto mpya sehemu nyingine.

Kennedy Ameandika...

"Wananchi, what can I say? You have been the best to me , to my family and to my dream. Thank you for laughing with me, dreaming with me, winning with me , as well as crying with me . Someone said every good story must still end . Forever grateful. On to the next chapter.

#daimambelenyumamwiko🔥🔥💚💛"

Kennedy Musonda alijiunga na Yanga SC (Young Africans) rasmi mwezi wa Januari 2023, akitokea Power Dynamos ya Zambia kwa mkopo mdogo au makubaliano ya dirisha dogo la uhamisho