Mwaka 2025 inawezekana tukashuhudia ndoa za mastaa wengi nchini Tanzania. Baada ya Ndoa ya Jux na Priscila sasa unaambiwa Hamisa Mobetto na mchezaji wa klabu ya Yanga Azi Ki wanajambo lao mwezi huu wa pili 2025
Kwa mujibu wa Paparaza wa Rick Media ametupatia taarifa kuwa Ndoa yao inafanyika February 15,2025 Jijini Dar es Salaam na tayari taratibu za shughuli hiyo inayotarajiwa kuhudhuriwa na watu wachache zipo mwishoni kukamilika
Hii ni ndoa ya kwanza kwa mrembo Hamisa Mobetto ambaye kwa sasa tayari ana watoto wawili aliozaa na Mabilionea Naseed Abdul (Diamond Platnumz na Majizzo ambaye ni mmiliki wa Efm na Tv E.