Baada ya maneno kuwa mengi kwenye mitandao ya kijamii juu ya mahusiano ya Mwanamuziki Asake wa nchini Nigeria na Mrembo India Love kuwa wawili hao wapo kwenye mahusiano ya Kimapenzi, Mrembo India Love amejitokeza kujibu skendo hiyo
Kupitia Instastory yake India ameweka wazi kuwa wawili hao sio wapenzi ila wamekutana kwasababu ya kufanya video ya muziki tu. India ameandika "Just for a music Video"