Rais Donald Trump ametoa “onyo la mwisho” kwa Hamas kuwaachia mateka walioko Gaza pamoja na miili ya Watu waliofariki na kusisitiza kuwa Marekani itampa msaada Israel wa kuwamaliza kama hawatafuata agizo hilo.
Ameyasema hayo kupitia Ukurasa wake wa Mtandao wa Instagram leo Machi 6, 2025 muda mfupi baada ya Serikali ya Marekani kuthibitisha kuwa wanafanya mazungumz.
Taarifa hiyo imetoa onyo kuwa Viongozi wa Hamas wasipofanya hivyo ikiwa ni pamoja na kuondoka Gaza kutakuwa na madhara makubwa. Marekani iliitaja Hamas kama Shirika la Kigaidi mnamo 1997.