Leo ndio siku ya Ndoa ya Kitamaduni kati ya Jux na Prisillah huko Nchini Nigeria

-rickmedia: Saraphina Jerry

Saraphina Jerry

6 days ago
rickmedia: leo-ndio-siku-ndoa-kitamaduni-kati-jux-prisillah-huko-nchini-nigeria-690-rickmedia

Watu wengi walikuwa wakisubiri kwa hamu siku ya ndoa ya kitamaduni kati ya msanii Jux na Mke wake Prisillah ambayo ingefanyika huko Nigeria, sasa leo ndio siku ambayo Nigeria imesimamishwa na Jux na Prisillah kwa shughuli yao ya Ndoa ya kitamaduni.

Wasanii wengi wamehudhuria kwenye sherehe hiyo kama Diamond Platnumz, Ommy Dimpoz, Nandy,Billnass,D.Voice, G.Nako, na Wengine bila kusahau watu wengine maarufu wamekwenda kumpa sapoti Jux.

Diamond na Dvoice na crew yao wamependeza sana

Bdozen na marafiki wengine wa Jux wamependeza sana

Nandy amependeza sana

Billnass na Mkewe Nandy wamependeza sana

Mfanyabiashara Lavish amependeza sana

Itoshe kusema watanzania wamemsapoti mwenzao kwa asilimia kubwa na wamependeza sana kwenye harusi hii ya Jux na Prisillah, wametuwakilisha vizuri sana Tanzania huko nchini Nigeria, kila la kheri kwenye ndoa yao Jux na Prisillah.