Mwili wa MC Pilipili umekutwa na Majeraha, Polisi wanafanya uchunguzi

-rickmedia: Saraphina Jerry

Saraphina Jerry

23 hours ago
rickmedia: mwili-pilipili-umekutwa-majeraha-polisi-wanafanya-uchunguzi-965-rickmedia

Kwa mujibu wa msemaji wa familia, Paschal Maingu, ndugu wa marehemu #McPilipili ameeleza kuwa MC Pilipili alifariki akiwa na majeraha mwilini na baada ya mateso.

Aidha, msemaji amesema kuwa suala hilo limeshafika polisi na hadi sasa hakuna ratiba kamili ratiba ya mazishi yake.

Kwa mujibu wa Taarifa za Awali zilisema kwamba alifariki ghafla akiwa njiani kwenda mkoani Dodoma ambapo alikuwa na shughuli ya kuwa MC.