Msanii #NuhMziwanda Amemshukuru Staa wa Muziki #Chino kwa kumpa Apartment ya Kuishi na kuahidi kuwa kuna kazi Za pamoja zinakuja hivi karibuni.
"Wewe anza kunisema Ila Roho ina Amani Thanks My Boss @chino_kidd7 ‘ Asante Pia kwa Apartment ya kuishi @chino_kidd7 . Ngoma zinakuja @wanaman_gang"