Yamal Amenunua Cheni Ya Bilioni 1

-rickmedia: Lanka Ting

Lanka Ting

19 hours ago
rickmedia: yamal-amenunua-cheni-bilioni-1000-rickmedia

Nyota wa Klabu ya Barcelona Lamine Yamal ameamua kuipendezesha shingo yake kwa kununua mkufu mpya, unaodaiwa kuwa na thamani ya $40OK (sawa na TSH 1,058,000,000) kutoka kwa wauzaji wa vito vya thamani Tajia Diamonds waliopo huko New York nchini Marekani.

Taarifa hiyo imetolewa Rapa El Alfa El Jefe kupitia ukurasa wake wa Instagram wakati akimpongeza Lamine Yamal ambaye kwa sasa ni miongoni mwa wacheza kabumbu bora duniani kwa kuamua kununua cheni hiyo ya bei mbaya.