Jaji wa ngazi ya shirikisho (U.S. District Judge m) Hernán D. Vera alipinga ombi la Rapa na Muigizaji #50Cent la kuzuia kutolewa kwa filamu ya “Skillhouse” ambayo imeongozwa na #BryceHall, akisema hakuthibitisha kupatwa na athari isiyorekebika au uwezekano wa kushinda mahakamani hapo kabla.
Kesi kubwa bado inaendelea #50Cent na kampuni yake (NYC Vibe) bado wanasema picha, sauti na sura yake zimetumiwa bila makubaliano au Malipo baina yao.