Mastaa wenye Wafuasi wengi zaidi Instagram Duniani

-rickmedia: Saraphina Jerry

Saraphina Jerry

1 year ago
rickmedia: mastaa-wenye-wafuasi-wengi-zaidi-instagram-duniani-630-rickmedia

Lionel Messi amefikisha wafuasi milioni 500 katika mtandao wa Instagra na kuwa binadamu wa pili baada ya Cristiano Ronaldo ambaye kwa sasa ana followers milioni 622 kuwa na idadi kubwa ya watu walio-mfollow.

Mwanamuziki na mwigizaji Selena Gomez anashika nafasi ya tatu akiwa na wafuasi milioni 429, akifuatiwa na Kylie Jenner (milioni 400) na Dwayne “The Rock” Johnson (milioni 397).

List kamili;

1 Cristiano Ronaldo - 622M

2 Lionel Messi - 500M

3 Selena Gomez - 429M

4 Kylie Jenner - 400M

5 Dwayne Johnson - 396M

6 Ariana Grande - 380M

7 Kim Kardashian - 364M

8 Beyonce - 319M

9 Khloe Kardashian - 311M

10 Kendall Jenner - 294M