Ugonjwa wa Malaria waua watu 610,000 kwa mwaka 2024

-rickmedia: Saraphina Jerry

Saraphina Jerry

1 hour ago
rickmedia: ugonjwa-malaria-waua-watu-610000-kwa-mwaka-2024-720-rickmedia

Shirika la Afya Duniani (WHO) imesema licha ya mafanikio ya mapambano dhidi ya malaria, ugonjwa huo kwa mwaka 2024 umeua watu 610,000.

WHO imetoa taarifa hiyo kieleza kuwa Idadi kubwa ya vifo hivyo ilitokea Afrika Kusini mwa Jangwa la Sahara na watoto wakiwa miongoni mwa waathiriwa wengi zaidi.

Idadi ya takwimu walioumwa nayo imepanda kutoka milioni 273 hadi makadirio ya milioni 282, kwa mujibu wa ripoti hiyo ya malaria ambayo hutolewa na WHO.