Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. Samia Suluhu Hassan amemteua Mbunge wa Jimbo la Kibamba, Angela Kairuki kuwa Waziri wa Mawasiliano na Teknolojia ya Habari.
Uteuzi huo umefanyika hii leo Novemba 17, 2025, Ikulu Chamwino Dodoma ambapo Naibu Waziri katika Wizara hiyo ameteuliwa Dkt. Switbert Zacharia Mkama.