Rais wa Tanzania Dkt. Samia Suluhu Hassan amemteua Palamagamba Kabudi kuwa Waziri wa Habari Utamaduni Sanaa na Michezo na Hamis Mwinjuma (FA) kuwa Naibu Waziri na Naibu wa pili wa Wizara hiyo ni Paul Makonda.
Saraphina Jerry