Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. Samia Suluhu Hassan amemteua Dkt. Doroth Gwajima Kuwa Waziri wa Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wanawake na Makundi Maalum ambapo Naibu Waziri katika Wizara ameteuliwa Maryprisca Winfred Mahundi.
Uteuzi huo umefanyika hii leo Novemba 17, 2025, Ikulu Chamwino Dodoma ambapo Naibu Waziri katika Wizara hiyo ni Regina Ndege Kwarai.