Rapa Tory Lanez achomwa kisu akiwa gerezani, yupo mahututi

-rickmedia: Rick

Rick

4 weeks ago
rickmedia: rapa-tory-lanez-achomwa-kisu-akiwa-gerezani-yupo-mahututi-900-rickmedia

Rapa Tory Lanez amelazwa Hospitali akiwa na hali mbaya baada ya kuchomwa kisu akiwa gerezani.

Kwa mujibu wa Tovuti ya TMZ Rapa huyo alichomwa kisu na mfungwa mwenzake huko Calfonia kisha kukimbizwa kwenye Hospitali ya karibu ambapo anaendelea na matibabu.

Kwa mujibu wa uongozi wa Tory Lanez wamesema kuwa Rapa huyo yupo kwenye hali mbaya akiwa anaendelea kupatiwa matibabu.