Hii ndio sababu ya Mchezaji wa Timu ya Taifa ya Nigeria Victor Osimhen kuondolewa kwenye kikosi cha Nigeria kwa mechi za kufuzu kwa AFCON 2025.
Sababu ya kuachwa kwa Victor Osimhen hatimaye ilifichuliwa na meneja wa muda wa Super Eagles Kocha Mkuu wa Nigeria, Augustine Eguavoen ametangaza kikosi chake kabla ya mechi zijazo na kwa mujibu wa Goal.com, Nahodha wa Orlando Pirates, Olisa Ndah na mshambuliaji wa Galatasaray, Victor Osimhen wote wameachwa kwenye kikosi, sababu kuwa wote wawili wanamajeruhi