Mike Tyson Alipata Dharura Ya Kiafya Na Kutibiwa Kwenye Ndege

-rickmedia: Lanka Ting

Lanka Ting

8 months ago
rickmedia: mike-tyson-alipata-dharura-kiafya-kutibiwa-kwenye-ndege-707-rickmedia

Bingwa wa zamani wa uzito wa juu duniani #MikeTyson alipatwa na dharura ya kiafya na kupatiwa matibabu akiwa kwenye ndege akitokea Miami kuelekea Los Angeles.

Tukio hilo limetokea muda mchache akijiandaa kwa pambano lake lijalo la Julai dhidi ya #JakePaul huko Dallas, Mara baada ya ndege kutua, abiria walizuiliwa kwa dakika 25 huku wahudumu wa afya wakimhudumia #Tyson.

Pia walifafanua kuwa hali ya Tyson haikusababisha kuchelewa kwa ndege, wakisema, "Ripoti kwamba suala lake la matibabu kuchelewesha safari ni za uongo. Kuchelewa kwa saa mbili kulitokana na tatizo la kiyoyozi kwenye ndege."