Mwanamke wa miaka 20 ahukumuwa kwa kumtishia Heung-min Son.

-rickmedia: Saraphina Jerry

Saraphina Jerry

4 days ago
rickmedia: mwanamke-miaka-ahukumuwa-kwa-kumtishia-heung-min-son-178-rickmedia

Mahakama nchini Korea Kusini imemhukumu mwanamke mmoja mwenye umri wa miaka 20 kifungo cha miaka minne jela kwa kumtishia mshambuliaji Heung-min Son.

Mwanamke huyo, pamoja na mpenzi wake mwenye umri wa miaka 40, walijaribu kumlaghai Son kwa madai ya uongo kuwa alikuwa na mahusiano nae na alikuwa mjamzito na kumlazimisha awape fedha Dola 200,000 na kutishia kumuua endapo asingelipa.