Baada ya Juma Jux kukamilisha Ndoa na mwenza wake Priscila kuna uwezekano wa kuona Ndoa kati ya Marioo na mama mtoto wake Paulah hivi karibuni.
Kupitia ukurasa wake wa Instagram Marioo ameandika ujumbe huu hapa ambao pia ulichapishwa na mama mtoto wake Paulah"Namshukuru Mungu na sisi yetu inakuja, nina furaha kedekede", amehitimisha Marioo
Inawezekana huu ukawa mwaka ambao mastaa wengi wameamua kuingia kwenye ndoa kwani inasemekana kuwa hata mrembo Hamisa Mobetto na Aziz Ki wanatarajia kufunga ndoa February 15,2025