Dkt.Slaa arudi rasmi CHADEMA

-rickmedia: Saraphina Jerry

Saraphina Jerry

1 week ago
rickmedia: dktslaa-arudi-rasmi-chadema-863-rickmedia

 Aliyekuwa Katibu Mkuu wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), Dkt Wilibrod Slaa amerejea rasmi na kutangazwa katika mkutano wa hadhara Mbeya, leo Machi 23, 2025.

Taarifa za kurejea kwake zimetangazwa rasmi na Katibu Mkuu wa Chadema (Bara), Aman Golugwa wakati wa uzinduzi wa ziara ya siku 48 ya Chama hicho, inanyolenga kuelimisha umma kuhusu ajenda ya "No Reforms, No Election".