Kanisa Katoliki lapata PAPA Mpya, ni Robert Francis Prevost

-rickmedia: Rick

Rick

17 hours ago
rickmedia: kanisa-katoliki-lapata-papa-mpya-robert-francis-prevost-447-rickmedia

Hatimaye Kanisa Katoliki Duniani limepata kiongozi mpya. Ni Robert Francis Prevost raia wa Marekani ambaye leo amechaguliwa kuwa Papa.

Robert amerithi nafasi ya Papa Francis aliyefariki dunia April 2025