Aliemuibia Baiskeli Eminem Jela inanukia

-rickmedia: Lanka Ting

Lanka Ting

7 hours ago
rickmedia: aliemuibia-baiskeli-eminem-jela-inanukia-402-rickmedia

Mwanaume mmoja aliefahamika kwa jina la #MatthewDavidHughes akutwa Na hatia kwa kosa la uvamizi wa nyumbani Baada ya kuvamia nyumba ya rapa #Eminem iliyoko Clinton Township, Michigan mnamo Agosti 2024 na kuiba Baiskeli.

Alikamatwa siku nne baadaye katika duka la Walmart lililo karibu.

Majaji walitoa hukumu ya hatia baada ya kesi ya siku mbili ambayo ilijumuisha ushahidi kutoka kwa #Eminem mwenyewe. Hukumu itatolewa tarehe 17 Juni, na Hughes anakabiliwa na uwezekano wa kifungo cha miaka kadhaa jela.