Jux Ahaidi Balaa kwenye Harusi Yake Tanzania "Mke wangu Amechoka Shughuli hii ya Mwisho"

-rickmedia: Lanka Ting

Lanka Ting

7 hours ago
rickmedia: jux-ahaidi-balaa-kwenye-harusi-yake-tanzania-mke-wangu-amechoka-shughuli-hii-679-rickmedia

Staa wa Muziki wa Bongo Fleva #Jux amesema kuwa Sherehe ya Harusi yake itamalizikia Dar Es Salaam May 28.2025 kutokana na Mke wake #Priscilla kuchoka kwa hekaheka Za Sherehe.

#Jux amedai kuwa alitamani Harusi yake aifanyie sehemu mbalimbali ikiwemo Rwanda ambapo alikutana na Mke wake kwa Mara ya kwanza.

"Tanzania ndiyo ya mwisho... Nitaweka kila kitu hapo. Itakuwa ni balaa.”

Marafiki kutoka Uganda, Kenya, China, Marekani, na Tanzania wanatarajiwa kuhudhuria tukio hilo kubwa.

Tazama video hapa chini.