VIDEO: AHMEDY ALLY "SIMBA inafunga Magoli ya UEFA ndani ya Mwenge

-rickmedia: Rick

Rick

18 hours ago
rickmedia: video-ahmedy-ally-simba-inafunga-magoli-uefa-ndani-mwenge-462-rickmedia

Msemaji wa Klabu ya Simba Ahmedy Ally anasema kuwa Simba imekuwa tishio kwani wachezaji wake wa Simba wamekuwa wanashinda magoli yanayotakiwa kuonekana kwenye mashindano ya Klabu Bingwa Ulaya (UEFA)