Baada ya Dc wa Insta @Mwijaku kusema na kuandika maneno yaliyoonekana kama udhalilishaji kwa Msanii @mauasama.
Msanii #MauaSama Kupitia Wakili wake #ClaudioMsando kutoka kampuni ya Mawakili na Wanasheria ya #MsandoLawOffice iliyopo Jijini Dar es Salaam – Tanzania, wamemuandikia #Mwijaku hati ya madai na kumpa Masaa 24 ya kujibu tuhuma hizo za udhalilishaji ikiwa ni pamoja na fidia ya Fedha za Kitanzia Shillingi Milioni Mia Tatu.
Endapo atashindwa kufanya hivyo, basi atapelekwa Mahakamani na hatua nyingine za Kisheria zitafuata.