Kenya yatangaza uwepo wa homa ya Chikungunya

-rickmedia: Saraphina Jerry

Saraphina Jerry

11 hours ago
rickmedia: kenya-yatangaza-uwepo-homa-chikungunya-339-rickmedia

Serikali ya Kenya imethibitisha uwepo wa homa ya Chikungunya katika Kaunti ya Mombasa ambapo watu 25 wamethibitika kuambukizwa.

Kitengo cha Oparesheni za Dharura ya Afya ya Umma kimetangaza dalili za ugonjwa huo kuwa ni pamoja na harara, kujikuna na maumivu makali. Hata hivyo, ugonjwa huo bado hauna matibabu maalum.