Waziri wa Elimu wa India, Dharmendra Pradhan amejiuzulu baada ya kukabiliwa na shinikizo kubwa kutoka kwa vijana waandamanaji waliokuwa wakipinga kufutwa kwa mitihani, hali iliyoathiri takribani vijana milioni mbili pamoja na ukosefu wa ajira.
Saa chache baada ya kujiuzulu kwake, waandamanaji walikubali kusitisha maandamano baada ya kufanya mazungumzo na serikali.